HabariMilele FmSwahili

Wauguzi Bungoma wagoma wakidai nyongeza ya mshahara

Wauguzi kaunti ya Bungoma wameshiriki maandamano kushinikiza kutiwa saini kwa mkataba wao unaolenga kuongeza mishahara yao. Wakiongozwa na katibu wa muungano wa wauguzi kaunti ya Bungoma George Musundi wanasema hatakubali kurejea katika meza ya majadiliano huku wakizitaka serikali za kaunti pamoja na ile ya kitaifa kutia sahihi mkataba huo. Wameapa kuendelea na maandamano hadi pale matakwa ya yatakapoangaziwa.

Show More

Related Articles