HabariMilele FmSwahili

Matiangi asema serikali imewapa nyongeza ya mshahara wahadhiri wanaogoma

Waziri wa elimu Dr Fred Matiangi amethibitisha serikali imeanza kuwapa nyongeza ya mishahara wahadhiri wanaogoma. Matiangi amepuuza kuwepo mgogoro kati ya serikali na wahadhiri katika mkataba wao wa shilingi bilioni 10. Anasema serikali hainuii kubatili mkataba huo Hakikisho lake linawadia huku mgomo wa wahadhiri ukiingia siku ya 5 leo.

Show More

Related Articles