HabariK24 TvSwahiliVideos

Mzozo wazunguka upanuzi wa uwanja wa ndege Malindi

Zaidi ya watu mia tatu kutoka eneo la Malindi wamepinga mradi wa kuendeleza uwanja wa ndege wa Malindi  katika eneo hilo wakisema kuwa hawakuarifiwa kuhusu ujenzi huo. Taarifa hiyo na nyingine ni kwenye mseto wa wikendi.

 

 

Show More

Related Articles