Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tume ya IEBC yatoa hakikisho, zogo la karatasi za kupigia kura bado latokota

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, imetetea vikali hatua ya kuizawadia kampuni ya Al ghurair kutoka Dubai zabuni ya kuchapisha karatasi zitakazotumika kwenye uchaguzi wa Agosti nane.
IEBC imesema kuwa ilifuata sheria ipasavyo na kuukashifu upinzani NASA kwa madai ya kutaka kusambaratisha maandalizi ya kura za Agosti huku NASA ikiibua madai mapya na kumtaka afisa mkuu mtendaji wa IEBC Ezra Chiloba kujiuzulu.

Show More

Related Articles