HabariMilele FmSwahili

NASA yakanusha madai ya kufufua kesi za ICC

Muungano wa NASA umekanusha madai utafufua kesi zilizofutiliwa mbali na mahakama ya ICC iwapo utaingia uongozini Agosti nane. Kinara wa ANC Musalia Mudavadi anasema hawana haja ya kuanzisha kesi hizo zilizokua zinawakabili rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto. Mudavadi anasema kwa sasa wanalenga kuuza sera zao kwa wakenya wala sio kuwaadhibu rais na naibu wake.

Show More

Related Articles