HabariMilele FmSwahili

Milolongo mirefu yashuhudiwa katika hospitali za kibinafsi

Milolongo mirefu imeanza kushuhudiwa katika hospitali za kibinafsi wagonjwa wakielekea huko kusaka tiba kufuatia mgomo wa wauguzi ambao umelemaza utoaji huduma katika hospitali za umma. Kaunti ya Elgeyo Marakawet ikiwa mojawapo ya kaunti ambazo hospitali zake za kibianfsi vimejaa kiasi cha haja. Wakati huo mkutano uliofaa kaundaliwa kati ya muungano wa COTU, wauguzi na baraza la magavana umekosa kufanyika leo kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi.

Show More

Related Articles