HabariMilele FmSwahili

KRA kanda ya bonde la ufa lateketeza bidhaa gushi Eldoret

Mamlaka ya KRA  kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa imeteketeza   bidha  gushi zenye  dhamani ya  shilling miilioini moja  mjini   Eldoret. Afisa  wa mamlaka hiyo   Florence Otory  aliyeongoza shughuli katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi amesema bidhaa  hizo ambazo ni dawa na  tumbaku  zilizonaswa katika uwanja wa ndege wa Eldoret zikingizwa humu nchini huku zingine zikinaswa kwenye masoko   tofauti mjini Eldoret.

Show More

Related Articles