HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta akosa kutia saini mswada wa fedha

Rais Uhuru Kenyatta amekosoa kutia saini  kwenye mswada wa fedha wa 2017 na kuurejesha bungeni. Hii ni baada ya wabunge kuondoa kipengee kinachoagiza kuongezwa kwa  ushuru  unaotozwa kampuni ya michezo ya kamari   hadi aslimia 50 kutoka aslimia 15 ya sasa. Rais ameagiza kuongezwa kwa ushuru huo hadi aslimia 35 kinyume na aslimia 50 iliyopendekezwa na waziri wa fedha Henry Rotich.

Show More

Related Articles