HabariMilele FmSwahili

Wauguzi Mombasa wakanusha madai ya kurejea kazini

Wauguzi kaunti ya Mombasa wamekanusha madai kuwa wamerejea kazini. Wakizungumza wakati wa maandamano yao hii leo wanasema hawatorudi kazini hadi matakwa yao yatimizwe huku  wakiitaka serikali ya kaunti kufanya kila juhudi kuhakikisha kuwa wanapata haki yao. Katibu wao wauguzi kaunti ya Mombasa Peter Maroko amewataka kutoyumbishwa na vitisho wanavyopokea vya kuwataka wao kurudi kazini

Show More

Related Articles