HabariMilele FmSwahili

Walinzi 4 wa mkewe gavana wa Machakos wafariki kwenye ajali

Walinzi 4 wa mkewe gavana wa Machakos Lilian Nganga wamefariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Lukenya barabara ya kutoka mjini Mombasa kuja hapa jijini Nairobi. Walinzi hao walikuwa maafisa 2 wa polisi na wafanyikazi wengine 2. OCPD wa Athiriver Sharma Wario anasema dereva wa gari la kibinafsi ambaye gari lake liligongana na gari hilo amelazwa hospitalini  anakopokea matibabu.

Show More

Related Articles