HabariMilele FmSwahili

Watu wanne wazama katika ziwa Victoria

Watu wanne wanahofiwa kuangamia baada ya boti waoliokuwemo kuzama katika ziwa Victoria. Mkasa huo umetokea karibu na Sirongo beach Kaunti ya siaya. Miongoni mwa waathiriwa wanaarifiwa kuwa mume, mkewe na mtoto wao wa miezi sita.

Show More

Related Articles