HabariPilipili FmPilipili FM News

Kampuni Za Kuwanyanyasa Wafanyikazi Kilifi Zaonywa.

Kampuni zinaziwanyanyasa kimishahara wafanyikazi  wake hazitapata nafasi ya kuhudumu ndani ya kaunti ya kilifi. Hii ni kauli ya mgombea wa kiti cha ugavana kaunti ya kilifi Kazungu Kambi.

Kambi amewataka wakaazi wa kaunti ya Kilifi kuunga mkuno chama cha KADU ASILI na kumchagua kama gavana, huku akiahidi maendeleo na ongezeko la viwanda ndani ya kaunti hiyo ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa ajira na pia akisema kilifi itaanzisha benki yake itakayotoa mikopo kwa wakaazi wake kwa riba ya chini.

Show More

Related Articles