HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanafunzi acharazwa na mwalimu asiweze kuketi Mombasa

Familia moja kutoka  eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa inatafuta haki baada ya mtoto wao kuchapwa vibaya na mwalimu wake shuleni.
Mwanafunzi huyo anasemekana kuchapwa na mwalimu huyo kiasi kwamba hawezi akaketi .
Sasa familia yake inataka haki ifanyike dhidi ya mwalimu huyo.

Show More

Related Articles

Check Also

Close