Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Muungano wa upinzani wajipigia debe Ukambani

Muungano wa upinzani NASA sasa umeipa  Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC makataa ya siku ishirini na moja kuyaondoa majina ya wafu kwenye sajili ya wapiga kura, la sivyo hawatashiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti nane.

Wakizungumza wakati wa kampeini za NASA katika maeneo ya kaunti ya Makueni, viongozi hawa wameelezea hofu yao kwamba huenda  wakachezwa shere kwenye uchaguzi huo, endapo IEBC haitaisafisha sajili yake na kuyaondoa majina hayo.

Aidha wamewataka wenyeji wa maeneo hayo ya Makueni kuipigia kura NASA mia kwa mia katika uchaguzi wa Agosti nane.

Show More

Related Articles