HabariMilele FmSwahili

NASA kupeleka kampeini zake Ukambani hii leo

Baada ya kupiga kambi Pwani kwa siku tatu mfululizo,vigogo wa muungano wa NASA wanapeleka kampeini zao eneo la Ukambani leo. Wakiongozwa na mgombea urais Raila Odinga na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka,wana NASA wanazuru maeneo ya Mtito Andei,Kibwezi kisha wotee ambapo watahutubia mikutano ya kisiasa. Jana vigogo hao waliandaa mikutano ya kisiasa maeneo tofauti ya kaunti ya Taita Taveta ambapo waliendelea kuisuta serikali ya jubilee wakidai imeharibu uchumi wa taifa.

Show More

Related Articles