HabariMilele FmSwahili

NASA yaisuta serikali ya Jubilee

Vigogo wa upinzani NASA wameendelea kuisuta serikali ya Jubilee kwa kile wanadai kuharibu uchumi wa taifa. Wana NASA waliokuwa Taita Taveta,wamedai ufisadi umeathiri pakubwa gharama ya maisha nchini na kusababisha taifa kuwa na mabilioni ya madeni. Wamewarai wananchi kuwachagua kwa wingi Agosti nane wakihaidi kubadilisha hali hiyo.

Show More

Related Articles