HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaagiza IEBC kumruhusu Wavinya kuwania ugavana

Mahakama kuu imesitisha kwa muda uamuzi wa tume ya uchaguzi na mipaka kumzuia Wavinya Ndeti kuwania ugavana katika uchaguzi wa Agosti nane. Akitoa uamuzi huo jaji George Odunga aidha ameagiza IEBC kuchapisha jina lake Wavinya katika orodha ya wagombeaji wote huku uuamizi wa mwisho kuhusu kesi aliyowasilisha kupinga kuzuia kuwania ugavana ukisubiriwa. Hayo yanajiri huku Kalonzo Musyoka, mgombea mwenza wa Raila odianga akilaumu IEBC kwa kile anadai ni kupokea maagizo kutoka kwa jubilee kumzuia wavinya kuwania kiti hicho.

Show More

Related Articles