Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

inara wa upinzani wamekuwa Taita Taveta kwenye kampeni

Viongozi wa muungano wa NASA sasa wanaishtumu serikali kwa kutoa hati miliki za ardhi katika maeneo mbali mbali ya nchi, wakati huu ambao kampeini za uchaguzi zimechacha.
Wakizungumza wakati wa kampeini zao katika kaunti ya Taita Taveta, vinara Raila Odinga na Musalia Mudavadi wamesema hatua hiyo ya serikali ni utumizi mbaya wa mamlaka, na sasa wameitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka kufafanua wazi wazi iwapo mwondoko huo wa serikali unakubalika.
Mwanahabari wetu Kiama Kariuki yuko maeneo Taita Taveta, na ametuandalia hii.

Show More

Related Articles