Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta aongoza mahafala ya makurutu wa jeshi,Eldoret

Rais Uhuru Kenyatta hii leo alihudhuria sherehe ya kufuzu kwa makurutu wa jeshi katika chuo cha mafunzo ya kijeshi cha Moi Barracks Eldoret.
Rais alichukua pumziko kutoka kwenye msururu wa kampeni za chama cha Jubilee zinazoendelea kwa sasa eneo hilo japo naibu wake william ruto alikuwa akiendeleza kampeni hizo za Jubilee katika kaunti ya Narok.
Anders Ihachi yuko Uasin Gishu na anatuarifu zaidi kuhusu mpangilio wa kurejelewa kwa kampeni hizo kesho eneo la Uasin Gishu.

Show More

Related Articles