HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waliofanya ndoa za kimataduni waagizwa kujisajili ifikiapo Agosti 1

Watu wengi wamo katika ndoa ambazo hazitambuliki kisheria kwani hasijasajiliwa katika ofisi za msajili wa ndoa.
Iwapo upo katika ndoa ya kitamaduni ambayo haijasajiliwa katika afisi za msajili wa ndoa, jiandae kufanya hivyo kuanzia tarehe moja mwezi Agosti mwaka huu, kufuatia tangazo la mwanasheria mkuu Profesa Githu Muiga

Show More

Related Articles