HabariMilele FmSwahili

Wagombeaji huru wabuni rasmi muungano wao

Wagombeaji huru wamebuni rasmi muungano wao. Wakiuzindua leo, wamesema muungano huo Kenya Natioanl Association of Indepent Candidate utakwua na jukumu la kuwatetea wagombaji hao. Mgobmea kiti cha ubunge eneo la Makadara Reuben Ndolo ameteuliwa mwenyekiti wa muungano huo huku mgombea wa kiti cha useneta kaunti ya Siaya Salome Owuor akiteuliwa kama katibu mkuu. Wamesema muungano huo kwa sasa haumuungi mkono mgombea yeyote wa kiti cha urais.

Show More

Related Articles