HabariMilele FmSwahili

Kampuni ya Al Ghurair yakabidhiwa kandarasi ya kutayarisha karatasi za kupigia kura

Tume ya uchaguzi IEBC imeikabidhi kampuni ya Al Ghurair kandarasi ya kutayarisha karatasi milioni 120 za kupigia kura. Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati anasema wameafikiana kutoa kandarasi hiyo ya shilingi bilioni 2.5 moja kwa moja kutokana na muda uliosalia kabla ya Agosti nane. Wakait huo huo Chebukati anasema kufikia sasa wamepkea vifaa 35,000 vya kiteknolojia ikiwemo BVR ambavyo vitatumwia kwenye uchaguzi huku vifaa zaidi vikitarajiwa nchini kufikia tarehe 13 mwez ihuu. Amesema teknolojia itafanyiwa majaribio alasiri leo.

Show More

Related Articles