HabariMilele FmSwahili

Jamaa amuua nduguye kutokana na mzozo wa kisiasa Trans-Nzoia

Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Kitalale kaunti ya Trans- Nzoia kufuatia kisa cha jamaa wa miaka 41 kumua nduguye wa miaka 23 kwa kudunga kisu kutokana na mzozo wa kisiasa. Jamaa huyu alivamiwa na kuuwawa na umati kufuatia kisa hicho usiku wa kuamkia leo.  Chifu wa kata ndogo ya Kipyoyban Richard Ngeywo, amelaani kisa hicho akikitaja cha aibu.

Show More

Related Articles