Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

NASA yatafuta uungwaji mkono Agosti nane

Kinara wa muungano wa upinzani nasa Raila Odinga hii leo amekita kambi katika kaunti ya Kilifi, kutafuta uungwaji mkono uchaguzi wa agosti nane ufikapo.
Odinga ambaye alianza kampeini yake katika eneo la Mariakani amekishtumu chama cha Jubilee na hususan rais Uhuru Kenyatta kwa madai ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa kutumia miradi iliyoanzishwa chini ya serikali iliyopita.
Odinga ameutaja mradi wa reli ya SGR kama wazo lililozaliwa na serikali aliyokuwa ndani, na kuwataka wenyeji wa maeneo haya kutohadaiwa na mapochopocho ya Jubilee.
Kiama Kariuki yuko kule Pwani ya Kenya na ametuandalia taarifa

Show More

Related Articles