HabariMilele FmSwahili

Uteuzi wa Wavinya Ndeti wafutiliwa mbali

Mgombea ugavana kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amepata pigo baada ya tume ya IEBC kufutilia mbali uteuzi wake. IEBC inasema Wavinya angali mwanachama wa vyama viwili baada ya kudaiwa kukosa kujiuzulu kutoka chama cha CCU. Wavinya amekuwa akigombea kwa tiketi ya chama cha Wiper baada ya maafikiano na viongozi wa chama cha Wiper. Awali wanachama wa CCU waliekea mahakamani kuwasilisha kesi dhidi ya Wavinya kwa kukosa kujiuzulu rasmi kutoa CCU.

Show More

Related Articles