HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Zaidi ya magari 28 yanaswa kwenye barabara kuu ya Nairobi-Nakuru

Shirika la kudhibiti usalama barabarani NTSA hii leo limekita kambi katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru.
Madereva wa magari 28 ya usafiri wa umma na ya kibinafsi walinaswa kwa kukiuka sheria za barabarani.

Show More

Related Articles