HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanafunzi wa kike ajitoa uhai kwa kujitiza kitanzi hotelini,Mombasa

Maafisa wa polisi katika kaunti ya Mombasa wanaendelea na uchunguzi kubaini kifo cha mwanafunzi wa chuo kikuu, ambaye mwili wake ulipatikana umening’inia katika chumba cha malazi kwenye hoteli la Las Vegas eneo la Kisimani.
Inadaiwa kuwa Doris Kagendo mwenye umri wa miaka 23 aliingia pale hotelini na mpenziwe ambaye kufikia sasa ameenda mafichoni.

Show More

Related Articles