HabariMilele FmSwahili

NTSA yanasa magari 28, barabara ya Nairobi – Nakuru

Mamlaka ya usalama barabarani NTSA imenasa magari 28  kwenye barabara ya Nairobi kuelekea Nakuru  kwa kukiuka sheria za trafiki. Magari hayo yamenaswa kwenye oparesheni  iliyopelekea kukamatwa kwa  waendeshaji magari ambao nambari zao za usajili ziliondolewa. Madereva walionaswa walitozwa faini ya shilingi 5000. Hared Adan mkurugenzi  katika mamlaka hiyo anasema oparesheni hiyo ililenga  magari ya umma na yale ya kibinafsi yasiofaa kuwa barabarani kama njia moja ya kuzuia ajali za barabarani.

Show More

Related Articles