HabariMilele FmSwahili

Wafanyibiashara 4 wakamatwa Malindi kwa kuuza bei ghali unga wa serikali

Wafanyibiashara wanne wamekamatwa katika kaunti ya Malindi kwa kosa la kuuza unga wa mahindi kwa bei kinyume na iliyowekwa na serikali. Inadaiwa wafanyibiashara  hao wamekuwa wakiuza unga wa kilo mbili wa ugali kwa shilingi 120 badala ya tisini. Hayo yamejiri wakati wananchi katika maeneo mbali  mbali wakilalamikia gharama ya juu ya unga baada ya serikali kushukisha bei.

Show More

Related Articles