HabariPilipili FmPilipili FM News

Waathiriwa Wa Kayabombo Bado Wadai Ridhaa Yao.

Zaidi ya watu 800 waathiriwa wa vita vya Kaya bombo mwaka 1997 katika maeneo mbali mbali kaunti ya kwale, wametoa changamoto kwa serikali ya kitaifa kuwalipa fidia yao ya takriban shilingi bilioni 2

Wakiongozwa na mwenyekiti wao  Peter Musyimi wanadai juhudi zao za kutafuta ridhaa ya hasara waliopata imesalia kitendawili  bila mafanikio, kauli ambayo imeungwa mkono na Cecilia Mwanga Mwadime miongoni mwa wakazi wengine wa kaunti hiyo.

 

Show More

Related Articles