Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

IEBC yatakiwa kueleza sababu ya kumzuia Peter Gichira debeni

Mahakama imeiamuru tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kutoa maelezo katika muda wa saa 24 sababu kuu za kumzuia mwaniaji binafsi wa kiti cha urais urais Peter Gichira kugombea urais.
Mwaniaji huyo ambaye pia alishtakiwa kwa madaiwa kujaribu kujitoa uhai alikuwa amefika mahakamani kuishtaki IEBC kwa kutomuidhinisha.
Kwa sasa IEBC imeanza rasmi kusikiza na kutoa uamuzi kuhusu kesi za malalamishi ya wawaniaji kutoka pembe zote za nchini aambao hawakuidhinishwa kushiriki uchaguzi mkuu wa Agosti nane.

Show More

Related Articles