Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Upinzani waishtumu Jubilee kwa kushindwa kuongoza

Kinara wa NASA Raila Odinga amesisitiza kwamba reli ya kisasa ilikuwa mradi chini ya serikali mahuluti na hivyo Jubilee haifai kujipiga kifua kuuhusu.
Odinga anasema serikali ya Jubilee inakuza propaganda tu wala haina ajenda ya kimaendeleo mbali na kuwakandamiza wakenya.
Mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka hata hivyo amesisitiza kwamba wale wote waliohama Wiper wakiongozwa na gavana wa Machakos dakta Alfred Mutua hawatorejea uongozini.

Show More

Related Articles