Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vinara wa NASA wajipigia debe ngome ya Jubilee, Kapsabet

Muungano wa upinzani NASA hii leo ulielekeza kampeni zake katika kaunti ya Nandi hasa eneo la Kapsabet kwenye wiki ya kwanza ya kampeni za uchaguzi mkuu baada ya kampeni kuanza rasmi.

Makaribisho ya NASA eneo la Nandi kunakoaminika kuwa ngome kuu ya Jubilee hayakuwa mazuri mno kutokana na baadhi ya wafuasi wa Jubilee kuwapa mapokezi baridi.

Show More

Related Articles