HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanamgambo 14 wauawa mjini Abdidore nchini Somalia

Wanajeshi wa KDF walitibua shambulizi na kuwaua wanamgambo kumi na nne wa Alshabaab  nje ya mji wa Kisimayu

Wanamgambo hao walikuwa wamepanga kushambulia kambi ya KDF  baadhi ya waliouawa ni pamoja na makamanda wa Al shabaab.

Hayo yanajiri huku uchunguzi ukiendelea kubaini ni vipi kundi la wanamgambo walivamia nchi ya Uingereza na kuwauwa watu saba na kuwaacha wengine kadhaa na majerui mabaya.

Show More

Related Articles