HabariK24 TvSwahiliVideos

Mwanaharakati azindua mbinu mpya iliyo salama Amboseli

Mwacha  mila  ni  mtumwa  ndio  dhana inayozifanya  jamii  nyingi  kuwa  vigumu  kuacha  tamaduni  iliyopitwa  na  wakati  ya  ukeketaji  wa  wasichana.
Hii ndio  maana   jamaa  mmoja  katika  kijiji  kilichoko  kwenye  mbuga  ya  wanyama  pori ya  Amboseli aliamua  kutumia  mbinu  tofauti  kupambana  na  ukeketaji.
James Kimeto alifanikiwa  kuishawishi  jamii  ya wamasai  inayoishi  katika  kijiji  hicho kuwa  wanaweza kuchelewesha  zoezi la ukeketaji  kwa  wasichana  wao  hadi  pale  watakapomaliza  shule.

Show More

Related Articles