HabariPilipili FmPilipili FM News

Wapwani Wahimizwa Kupigia Kura NASA.

Gavana wa Kaunti ya Kilifi Amason Kingi amewahimiza wakazi wa Kaunti hiyo na Pwani kwa jumla wajitokeze kikamilifi kupigia  kura mrengo wa Nasa ikiwa wanataka kuleta mageuzi ya utawala bora wa taifa hili.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kilifi, Kingi amesema ili mageuzi ya dhulma za kihistoria Pwani zipatikana ni wajibu wa kila mmoja ajitokeze na kushiriki katika zoezi hilo muhimu, ambapo amewarai wananchi kuunga mkono muungano wa NASA.

Show More

Related Articles