HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotmbulika : Kundi la Tazama Afrika, linalotumbuiza wagonjwa hospitalini

Kundi fulani la vijana limeamua kutumia dhana hii kuwaimbia na kuwa chezea gitaa wagonjwa katika hospitali tofauti wakitumai huduma yao itasaidi kupunguza maumivu na mawazo ya mgonjwa hospitalini.
Vijana hao wanaojiita tazama Afrika hutembea hospitali ya Mater hapa Nairobi kila siku kuwaliwaza wagonjwa kwa nyimbo na kuwachezea ala za muziki tulivu kwa kujitolea na bila malipo.
Ni vijana hawa, wanaotupambia makala ya Wasiotambulika kama yaivyoandaliwa naye Dennis Matara.

Show More

Related Articles