HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Hati miliki za mashujaa wa uhuru kutolewa kwa muda wa wiki 3

Rais Uhuru Kenyatta ameipa wizara ya ardhi wiki tatu kutoa hati miliki kwa wakenya wa Mau Mau ambao wamesalia tu kungoja baada ya kuahidiwa hati hizo kwa muda mrefu.
Vile vile rais Kenyatta ametangaza kuzinduliwa kwa miradi tofauti ikiwemo kupanuliwa kwa barabara kuu ya thika hadi kaunti ya Isiolo.
Haya yanajiri huku sherehe za Madaraka zikinoga vilivyo kaunti ya Nyeri kwa shamra shamra za aina yake.

Show More

Related Articles