HabariMilele FmSwahili

Wagombea ugavana kuwasilisha stakabadhi zao kwa IEBC hii leo

Wagombea wa ugavana kaunti tofauti leo wanawasilisha stakabadhi zao za   uteuzi wa tume ya IEBC kuidhinishwa kuwania wadhfa huo. Wagombea wa ugavana ambao ni huru pia watawasilisha stakabadhi zao hii leo. Hapa Nairobi mgombea ugavana kwa tiketi ya Jubilee Mike Sonko na mwenzake wa ODM Dkt Evans  Kidero watawasilisha karatasi zao  kwa IEBC katika uwanja wa Kasarani.

Show More

Related Articles