Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Raila ahimiza wanaoharibu reli waadhibiwe lakini sio kunyongwa

Kinara wa upinzani ambaye pia ni mgombea urais wa NASA Raila Odinga ameungana na rais Uhuru Kenyatta kwa kuwatolea onyo wanaopania kuharibu reli mpya ya SGR akisema watakao patikana ni sharti waadhibiwe vikali lakini sio kwa kunyongwa.
Raila aliyazungumuza haya muda mfupi baada ya rais Kenyatta kutoa onyo kali kwa watakao patikana na hatia ya kuiharibu reli hiyo ya kisasa.
Hayo yanajiri huku washukiwa wengine watatu wakifikishwa mahakamani mjini Mombasa kwa tuhuma za kuiharibu reli hiyo.

Show More

Related Articles