HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mtu asiyejulikana atia sumu chakula kilichokuwa kiuzwe sokoni

Wafanya-biashara wa soko la Mukuyu kaunti ya Murang’a walipigwa na butwaa baada ya kuamkia sokoni na kupata baadhi ya bidhaa zao zimeharibiwa kwa madai ya kunyunyiziwa sumu ambayo haijabainika ni ipi.
Inadaiwa mhusika ni hasimu wa mfanya-biashara mmoja kwenye soko hilo.

Show More

Related Articles