HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Jamaa aliyebobea kwa kuosha magari katika miji kadhaa nchini

Ameifanya kazi ya kuosha magari kwa muda wa miaka sita katika miji mingi hapa nchini, ikiwemo Mombasa, Nairobi, Eldoret na sasa Bungoma.
Si mwingine ila ni Dominic Esachi, ambaye hii ndio njia yake ya kujipatia rikizi.
Huyu hapa Joab Mwaura na maelezo zaidi, kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Show More

Related Articles