HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Viwango vya maambukizi ya Ukimwi miongoni mwa vijana vyaongezeka

Unyanyapaa umesalia kuwa changamoto kubwa katika vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi humu nchini na kusababisha vijana wengi kudhulumiwa.
Shirika la kupambana na ukimwi nchini NACC linasema unyanyapaa huo umechangia pakubwa katika idadi ya vifo miongoni mwa vijana .
Aidha NACC inasema kuwa japo idadi ya vifo vinavyotokana na ukimwi imepunguwa kutoka elfu thelathini na saba hadi elfu thelathini na mbili kila mwaka , vijana na watoto ndio wanaoongoza kwa asilimia kubwa ya vifo vinavyotokana na virusi vya ukimwi

Show More

Related Articles