HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 4 wa wizi wa mitambo ya reli ya kisasa wakamatwa

Washukiwa 4 wanazuiiliwa baada ya kuhusishwa na wizi wa mitambo na vifaa vya reli ya kisasa.Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko anasema polisi kwa ushirikiano  na wadau wengine  wanaendesha uchunguzi  kuwanasa washukiwa wote wanaoendesha uhalifu huo.Tobiko anasema wahusika  watafunguliwa mashtaka yenye uzito zaidi kwa kuathiri  mipango ya  uchumi wa nchi kando na kuendesha wizi.

Show More

Related Articles