HabariMilele FmSwahili

Mtu mmoja afariki baada ya ukuta kuporomoka Miritini, Mombasa

Mtu mmoja amefariki huku wengine 2 kunusurika  baada ya kuporomoka kwa  ukuta wa jengo moja  katika mtaa wa Miritini kaunti ya Mombasa. Haya ni kwa mujibu wa shirika la  msalaba mwekundu lnalosema maafisa wake wanaendelea na shughuli za uokoaji.

Show More

Related Articles