HabariPilipili FmPilipili FM News

Jaji Mkuu Azuru Mombasa.

Jaji mkuu nchini david maraga ameapa kuwa idara ya mahakama nchini itapunguza milimbiko ya kesi kwenye mahakama za humu nchini

Akiongea alipokutana na wafungwa katika gereza la shimo la tewa maraga amesema hali hio imekua sugu kwa mahakama lakini akahakikisha kuwa itasuluhishwa hivi karibuni.

Wakati huohuo jaji mkuu amewaonya wanaojihusisha na ubakajiakisema sheria haitawasaza huku akikubali kuwa kumekua na shida kuhusiana na kesi za ubakaji ila akasema wao kama idara ya mahakama wanahakikisha kesi hizo zinaangaziwa kwa haraka na .

Kauli hii ya Maraga imejiri wakati yuko kwenye ziara yake mjini Mombasa na ksho anatarajiwa kuwa katika mahakama ya Mombasa kukagua majengo ya mahakama ya rufaa ambayo yanafanyiwa marekebisho.

Show More

Related Articles