HabariMilele FmSwahili

Muaniaji urais Joe Nyagah awakilisha stakabadhi zake kwa IEBC

Muaniaji huru wa urais Joe Nyaga amerejea katika jumba la KICC kuwasilisha stakabadhi zake baada ya kukosa kuidhinishwa jana. Mapema jana Nyaga alitakiwa kurekebisha makosa katika hundi yake ya shilingi elfu 200 anayopaswa kuwasilisha. Hata hivyo ameelezea imani kuwa ataidhinishwa ili kuendeleza azma yake ya kuwa rais.

Show More

Related Articles