HabariMilele FmSwahili

Mgombea urais Peter Gichira kufishwa kotini leo

Mgombea urais Peter Gichira ambaye amekesha katika kituo cha polisi cha Central hapa jijini Nairobi anatarajiwa kufikisha kotini hii leo. Gichira anakabiliwa na madai ya kutaka kujitoa uhai kwa kujaribu kuruka kutoka orofa ya 6 ya jumba la Anniversary zilizoko afisi za tume ya IEBC. Hii ni baada ya kuarifiwa kuwa  hakuidhinishwa kuwania urais. Madai hayo yamekanushwa na mgombea mwenza wake Kelly Watima na wakili wake wanaodai ni njama ya IEBC kumzuia kugombea kiti hicho.

Show More

Related Articles