Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu wa rais akipigia debe chama cha Jubilee katika eneo la Kajiado

Naibu Rais William Ruto hii Jumamosi amefika katika ngome za NASA za kaunty za Kwale na Kajiado katika juhudi za kukupigia debe chama chao cha Jubilee katika uchaguzi wa Agosti nane na ikiwa imesalia saa chache kabla ya kampeni kuanza rasmi kulingana na ratiba ya tume ya muchaguzi na mipaka IEBC.
Akiwa ameanadama na viongiozi kadhaa kutoka chama cha Jubilee Ruto hakusita kusuta upinzani kwa kina aknachosena kuwa ni muungano usio na mwelekeo wala agenda kwa wanachi wa kawaida.
Wakati huo naibu Rais alisistiza kuwa iwapa chama cha Jubilee itatwaa uongozi baada ya uchaguzi atawapa wanafunzi wa shule ya upili masomo ya bure ili kuhakikisha kuwa uchumi imeimarishwa.

Show More

Related Articles