HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Viongozi wa jamii ya waBorana wakashifu mauaji ya watu 8, Isiolo

Viongozi mbalimbali kutoka Isiolo wamekashifu shambulizi la Ijumaa lililopeleka mauaji ya watu 8 na kuwajeruhi wengine sita pamoja na kuibwa kwa mifugo wengi huku wakiitaka serikali kuimarisha usalama katika eneo hilo na nchini nzima kwa jumla.

Huku hayo yakijiri, mwakilishi wa wadi kutoka Baringo Thomas Minito aliyepatikana ameuawa na mwili wake kupatikana ukielea mto Athi amezikwa hii Jumamosi nyumbani kwake kaunti ya Baringo.

Show More

Related Articles